caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:26

خِتَٰمُهُۥ مِسْكٌ وَفِى ذَٰلِكَ فَلْيَتَنَافَسِ ٱلْمُتَنَٰفِسُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKizibo chake ni miski. Na katika hayo na washindanie wenye kushindana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMuhuri wake ni miski. Na katika hayo washindanie wenye kushindana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70