caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:25

يُسْقَوْنَ مِن رَّحِيقٍ مَّخْتُومٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatanyweshwa kinywaji safi kilichozibwa vyema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatanyweshwa kinywaji safi kiliyo tiwa muhuri,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70