كَلَّآ إِنَّهُمْ عَن رَّبِّهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّمَحْجُوبُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Hakika hao siku hiyo bila ya shaka watazuiliwa mbali na neema za Mola wao Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHasha! Hakika hao siku hiyo bila ya shaka watazuiliwa na neema za Mola wao Mlezi.