caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:14

كَلَّا بَلْ رَانَ عَلَىٰ قُلُوبِهِم مَّا كَانُوا۟ يَكْسِبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao waliokuwa wakiyachuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao walio kuwa wakiyachuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70