يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّبِىُّ حَسْبُكَ ٱللَّهُ وَمَنِ ٱتَّبَعَكَ مِنَ ٱلْمُؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe Nabii! Mwenyezi Mungu anakutosha wewe na mwenye kukufuata miongoni mwa Waumini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe Nabii! Mwenyezi Mungu anakutoshelezea wewe na Waumini walio kufuata.