caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anfaal, Aya 59

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 88 · 8:59

وَلَا يَحْسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ سَبَقُوٓا۟ إِنَّهُمْ لَا يُعْجِزُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala kamwe wasidhanie wale waliokufuru kwamba wao wametangulia mbele. Hakika, wao hawatashinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala wasidhanie wale walio kufuru kwamba wao wametangulia mbele. La, wao hawatashinda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70