caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 8

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:8

وَيُطْعِمُونَ ٱلطَّعَامَ عَلَىٰ حُبِّهِۦ مِسْكِينًا وَيَتِيمًا وَأَسِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70