caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 7

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:7

يُوفُونَ بِٱلنَّذْرِ وَيَخَافُونَ يَوْمًا كَانَ شَرُّهُۥ مُسْتَطِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWanatimiza nadhiri, na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWanatimiza ahadi,na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70