caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Insaan, Aya 6

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 98 · 76:6

عَيْنًا يَشْرَبُ بِهَا عِبَادُ ٱللَّهِ يُفَجِّرُونَهَا تَفْجِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi chemchemi watakayoinywa waja wa Mwenyezi Mungu, wakiifanya imiminike kwa wingi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi Mungu, wakiifanya imiminike kwa wingi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70