وَدَانِيَةً عَلَيْهِمْ ظِلَٰلُهَا وَذُلِّلَتْ قُطُوفُهَا تَذْلِيلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini.