caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muzzammil, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 3 · 73:14

يَوْمَ تَرْجُفُ ٱلْأَرْضُ وَٱلْجِبَالُ وَكَانَتِ ٱلْجِبَالُ كَثِيبًا مَّهِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70