caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:7

وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا۟ كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ ٱللَّهُ أَحَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa hakika wao walidhani, kama mlivyodhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70