caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:8

وَأَنَّا لَمَسْنَا ٱلسَّمَآءَ فَوَجَدْنَٰهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNasi tulifanya bidii kufika kwenye mbingu, lakini tukazikuta zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70