caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:4

وَأَنَّهُۥ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى ٱللَّهِ شَطَطًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uongo uliopindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70