وَأَنَّهُۥ تَعَٰلَىٰ جَدُّ رَبِّنَا مَا ٱتَّخَذَ صَٰحِبَةً وَلَا وَلَدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.