caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:5

وَأَنَّا ظَنَنَّآ أَن لَّن تَقُولَ ٱلْإِنسُ وَٱلْجِنُّ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uongo Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70