وَأَلَّوِ ٱسْتَقَٰمُوا۟ عَلَى ٱلطَّرِيقَةِ لَأَسْقَيْنَٰهُم مَّآءً غَدَقًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa lau kama wangelisimama sawasawa juu ya njia tungeliwanywesha maji kwa wingi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi,