caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:5

قَالَ رَبِّ إِنِّى دَعَوْتُ قَوْمِى لَيْلًا وَنَهَارًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku na mchana!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70