caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 78

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:78

فَأَخَذَتْهُمُ ٱلرَّجْفَةُ فَأَصْبَحُوا۟ فِى دَارِهِمْ جَٰثِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tetemeko la ardhi likawanyakua, na kulipokucha wakawa majumbani mwao kifudifudi wamekwishakufa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tetemeko la ardhi likawanyakua, na kulipo kucha wakawa majumbani mwao kifudifudi wamekwisha kufa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70