قَالَ ٱلْمَلَأُ مِن قَوْمِهِۦٓ إِنَّا لَنَرَىٰكَ فِى ضَلَٰلٍ مُّبِينٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale watukufu katika kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo katika upotovu ulio dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale watukufu katika kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo katika upotofu ulio dhaahiri.