caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:61

قَالَ يَٰقَوْمِ لَيْسَ بِى ضَلَٰلَةٌ وَلَٰكِنِّى رَسُولٌ مِّن رَّبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Enyi watu wangu! Mimi siko katika upotovu, lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika upotofu, lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70