وَقَاسَمَهُمَآ إِنِّى لَكُمَا لَمِنَ ٱلنَّٰصِحِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye akawaapia: Hakika mimi ni miongoni wa wanaowanasihi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini.