caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 204

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:204

وَإِذَا قُرِئَ ٱلْقُرْءَانُ فَٱسْتَمِعُوا۟ لَهُۥ وَأَنصِتُوا۟ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa inaposomwa Qur-ani, basi isikilizeni na mnyamaze ili mrehemewe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa isomwapo Qur'ani isikilizeni na mnyamaze ili mpate kurehemewa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70