caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 199

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:199

خُذِ ٱلْعَفْوَ وَأْمُرْ بِٱلْعُرْفِ وَأَعْرِضْ عَنِ ٱلْجَٰهِلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterChukua yaliyo mepesi (katika matendo yao), na amrisha mema, na jitenge na majahili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniShikamana na kusamehe, na amrisha mema, na jitenge na majaahili.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70