caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 198

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:198

وَإِن تَدْعُوهُمْ إِلَى ٱلْهُدَىٰ لَا يَسْمَعُوا۟ وَتَرَىٰهُمْ يَنظُرُونَ إِلَيْكَ وَهُمْ لَا يُبْصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mkiwaita kwenye uongofu, hawasikii. Na utawaona wanakutazama hali ya kuwa hawaoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mkiwaita kwenye uwongofu hawasikii. Na unawaona wanakutazama, nao hawaoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70