وَمِمَّنْ خَلَقْنَآ أُمَّةٌ يَهْدُونَ بِٱلْحَقِّ وَبِهِۦ يَعْدِلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika wale tuliowaumba wako umma wanaoongoza kwa haki, na kwayo wanafanya uadilifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya uadilifu.