caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 182

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:182

وَٱلَّذِينَ كَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا سَنَسْتَدْرِجُهُم مِّنْ حَيْثُ لَا يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale waliokadhibisha Ishara zetu, tutawapeleka katika maangamio pole pole kutokea pale wasipojua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale walio kadhibisha Ishara zetu, tutawapururia pole pole kwa namna ambayo wenyewe hawaijui
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70