قَالَ ٱخْرُجْ مِنْهَا مَذْءُومًا مَّدْحُورًا لَّمَن تَبِعَكَ مِنْهُمْ لَأَمْلَأَنَّ جَهَنَّمَ مِنكُمْ أَجْمَعِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Toka humo ilhali umefedheheshwa, umefukuzwa. Hakuna shaka atakayekufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Toka humo, nawe umekwisha fedheheka, umekwisha fukuzwa. Hapana shaka atakaye kufuata miongoni mwao, basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote