caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 174

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:174

وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلْـَٔايَٰتِ وَلَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ndiyo kama hivyo tunavyozieleza Ishara kwa kina, ili huenda wakarejea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNdio kama hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70