فَلَمَّا عَتَوْا۟ عَن مَّا نُهُوا۟ عَنْهُ قُلْنَا لَهُمْ كُونُوا۟ قِرَدَةً خَٰسِـِٔينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalipotakabari na kuasi yale waliyokatazwa, tukawaambia, "Kuweni manyani, mliodharauliwa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.