caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 104

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:104

وَقَالَ مُوسَىٰ يَٰفِرْعَوْنُ إِنِّى رَسُولٌ مِّن رَّبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Musa akasema, "Ewe Firauni! Hakika mimi ni Mtume kutoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Musa alisema: Ewe Firauni! Hakika mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70