caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:10

فَعَصَوْا۟ رَسُولَ رَبِّهِمْ فَأَخَذَهُمْ أَخْذَةً رَّابِيَةً

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkamuasi Mtume wa Mola wao Mlezi, ndipo Yeye Mola akawakamata kwa mkamato uliozidi nguvu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakamuasi Mtume wa Mola wao Mlezi, ndipo Yeye Mola akawakamata kwa mkamato ulio zidi nguvu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70