caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 9

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:9

وَجَآءَ فِرْعَوْنُ وَمَن قَبْلَهُۥ وَٱلْمُؤْتَفِكَٰتُ بِٱلْخَاطِئَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Firauni na waliomtangulia, na miji iliyopinduliwa chini juu, walileta dhambi kubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Firauni na walio mtangulia, na miji iliyo pinduliwa chini juu, walileta khatia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70