أَمْ تَسْـَٔلُهُمْ أَجْرًا فَهُم مِّن مَّغْرَمٍ مُّثْقَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo?