قُلْ هُوَ ٱلَّذِى ذَرَأَكُمْ فِى ٱلْأَرْضِ وَإِلَيْهِ تُحْشَرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Yeye ndiye aliyekutawanyeni katika ardhi, na kwake mtakusanywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Yeye ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi, na kwake mtakusanywa.