caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mulk, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 77 · 67:25

وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema ukweli?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70