caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saff, Aya 3

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 109 · 61:3

كَبُرَ مَقْتًا عِندَ ٱللَّهِ أَن تَقُولُوا۟ مَا لَا تَفْعَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyoyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyo yatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70