caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:18

وَهُوَ ٱلْقَاهِرُ فَوْقَ عِبَادِهِۦ وَهُوَ ٱلْحَكِيمُ ٱلْخَبِيرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye ndiye Mwenye nguvu za ushindi juu ya waja wake, naye ndiye Mwenye hekima, Mwenye habari zote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNaye ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake, na ndiye Mwenye hikima na Mwenye khabari zote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70