فَكُلُوا۟ مِمَّا ذُكِرَ ٱسْمُ ٱللَّهِ عَلَيْهِ إِن كُنتُم بِـَٔايَٰتِهِۦ مُؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi kuleni katika vile vilivyotajiwa jina la Mwenyezi Mungu, ikiwa mnaziamini Aya zake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi kuleni katika walio somewa jina la Mwenyezi Mungu, ikiwa mnaziamini Aya zake.