caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mujaadila, Aya 15

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 105 · 58:15

أَعَدَّ ٱللَّهُ لَهُمْ عَذَابًا شَدِيدًا إِنَّهُمْ سَآءَ مَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu amewaandalia adhabu kali. Kwa hakika waliyokuwa wakiyatenda ni maovu kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu amewaandalia adhabu kali. Kwa hakika waliyo kuwa wakiyatenda ni maovu kabisa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70