caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mujaadila, Aya 16

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 105 · 58:16

ٱتَّخَذُوٓا۟ أَيْمَٰنَهُمْ جُنَّةً فَصَدُّوا۟ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ فَلَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaizuilia Njia ya Mwenyezi Mungu. Basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWamefanya viapo vyao ni ngao, na wakaipinga Njia ya Mwenyezi Mungu. Basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70