caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:61

عَلَىٰٓ أَن نُّبَدِّلَ أَمْثَٰلَكُمْ وَنُنشِئَكُمْ فِى مَا لَا تَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilolijua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70