caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:19

لَّا يُصَدَّعُونَ عَنْهَا وَلَا يُنزِفُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawataumwa kichwa kwa vinywaji hivyo wala hawatoleweshwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70