caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:18

بِأَكْوَابٍ وَأَبَارِيقَ وَكَأْسٍ مِّن مَّعِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchemi safi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70