يُعْرَفُ ٱلْمُجْرِمُونَ بِسِيمَٰهُمْ فَيُؤْخَذُ بِٱلنَّوَٰصِى وَٱلْأَقْدَامِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatajuulikana wahalifu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatajuulikana wakosefu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu.