caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 40

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:40

فَبِأَىِّ ءَالَآءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayoikanusha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70