caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 35

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:35

يُرْسَلُ عَلَيْكُمَا شُوَاظٌ مِّن نَّارٍ وَنُحَاسٌ فَلَا تَنتَصِرَانِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMtatumiwa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70