caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 32

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:32

وَلَقَدْ يَسَّرْنَا ٱلْقُرْءَانَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur-ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70