caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:33

كَذَّبَتْ قَوْمُ لُوطٍۭ بِٱلنُّذُرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70