إِنَّآ أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ صَيْحَةً وَٰحِدَةً فَكَانُوا۟ كَهَشِيمِ ٱلْمُحْتَظِرِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tuliwatumia ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea ua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa.